Yanga v Kagera: Kamusoko kuanza, Cannavaro akiwa benchi

Yanga v Kagera: Kamusoko kuanza, Cannavaro akiwa benchi

09 Mar 2018, 13:04

Kiungo Mzimbabwe Thabani Scara Kamusoko amechaguliwa kuanza katika kikosi cha kwanza cha Dar Young Africans kitakachocheza na Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu jioni hii.

Kamusoko anarejea kikosini baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha aliyokuwa akiuguza.

Katika kikosi hicho Nahodha Nadir Haroub Canavaro amepangwa kuanzia benchi sawa na Kipa Ramadhan Kabwili aliyeanza kwenye mchezo uliopita wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers.

Kinachoanza: Youthe Rostand, Hassan Ramadhan Kessy, Haji Mwinyi, Said Juma Makapu, Kelvin Yondani, Patto Ngonyani, Emmanuel Martin, Thaban Kamusoko, Pius Buswita, Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib.

Akiba: Ramadhan Kabwili, Juma Abdul, Gadiel Michael Mbaga, Nadir Haroub, Makka Edward, Juma Mahadhi na Yusuf Mhilu.

Kagera Sugar

Kilichoanza: Ramadhan Chalamanda, Mwaia Gereza, Adeyun Ahmed, Juma Shemvuni, Mohamed Fakhi, Georeg Kavira, Japhet Makalai, Ally Nassor, Atupele Green, Ally Makarani na Japhary Kibaya.

Akiba: Juma K Juma, Geofrey Taita, Abdallah Salumu, Uzoka Ugochukwu, Peter Mwalyanzi, Omary Dagan a Paulo Ngalyoma.

Yanga watajitupa uwanjani kuwakaribisha Kagera Sugar katika mchezo wa raundi ya 21 utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Related news
related/article
Big EPL Betting Preview: Win Big!
Betting Previews
Big EPL Betting Preview: Win Big!
19 Oct 2018, 17:00
Ex-Ghana, Chelsea  star claims Mourinho will win titles at Man United
English Premier League
Ex-Ghana, Chelsea  star claims Mourinho will win titles at Man United
19 Oct 2018, 09:05
Morata reveals his struggles at Chelsea
English Premier League
Morata reveals his struggles at Chelsea
17 Oct 2018, 12:45
Mourinho reveals players that stood out against Chelsea
English Premier League
Mourinho reveals players that stood out against Chelsea
20 Oct 2018, 21:30
Official: Barcelona Star out for three weeks
Primera Division
Official: Barcelona Star out for three weeks
21 Oct 2018, 01:15