Yanga v Majimaji, Lwandamina aendelea kumuaamini kinda Ramadhan Kabwili

Yanga v Majimaji, Lwandamina aendelea kumuaamini kinda Ramadhan Kabwili

14 Feb, 13:58

Timu ya soka ya Dar Young Africans imendelea kukosa  huduma ya kiungo Mzimbabwe Thabani Kamusoko licha ya kupona majeraha ambayo kwa muda mrefu amekuwa akiyauguza.

Kamusoko alitarajiwa kurejea katika kikosi cha kwanza kuiongoza Yanga dhidi ya Majimaji kwenye mchezo wa ligi utakaofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Jumatano Februari 14 lakini hayupo kabisa kwenye mipango ya mwalimu George Lwandamina. 

Katika kikosi hicho Ibrahim Ajib Migomba yeye ataanza katika kikosi cha wakati ambapo kipa Ramadhan Kabwili atakuwa langoni huku Youthe Rostand akiendelea kukosekana kabisa hata katika wachezaji wa akiba.

Kinachoanza: Ramadhan Kabwili, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Said Makapu, Andrew Vincent, Makka Edward, Papy Kabamba Tshishimbi, Pius Buswita, Obrey Chirwa, Ibrahim Ajib na Emmanuel Martin.

Akiba: Benno Kakolanya, Juma Abdul,Haji Mwinyi, Raphael Daud, Geofrey Mwashiuya Nadir Haroub na Juma Mahadhi

Majimaji: Salehe Maland, Aziz Sibo, Mpoki Mwakinyuke, Kennedy Kipepe, Paulo Maona, Hassan Hamis, Peter Mapunda, Yakubu Kibiga,Six Mwasekaga, Marcel Boniventure na Jaffary Mohamed.

Akiba: Hasheem Musa, Sadick Gawaza, Alex Kondo, Lucas Kikosi, Geofrey Mlawa, Jerryson Tegete na Paul Lyungu

Katika mchezo wa Mzunguko wa kwanza timu hizo zilipokutana katika uwanja wa Majimaji mjini Songea zilitoka sare ya 1-1.

Related news
related/article
International News
Ronaldo: I can't be compared with Salah
25 May, 14:25
International News
Fred to keep United waiting
25 May, 08:55
International News
REVEALED: Why Iniesta chose Japan
24 May, 13:50
International News
WC 2018: Rabiot hits out at France boss
26 May, 09:00
International News
Don't compare Salah to Messi and Ronaldo, says Ramos. They're in a different orbit!
25 May, 21:14